Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Tatu na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
– Shambani
– Uzalendo
– Miezi ya mwaka
ISBN: 9789966141170
Reviews
There are no reviews yet.