Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya kwanza ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili 4 kurahisisha uelewa wa mwanafunzi katika Gredi ya Kwanza kwenye mfumo huu wa umilisi.
Sifa za kitabu hiki
- Kimeandikwa kwa wepesi wa maswali ili kumsaidia mwanafunzi kufanya mazoezi zaidi yanayofuata muundo wa umilisi.
- Kinofuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi.
- Kimefanyiwa utafiti wa kina zaidi wa maswali yaliyopo katika kila sura, mwisho wa kila sura na mwisho wa muhula.
- Maswali yanayomsaidia mwanafunzi wa kiwango chochote kufanya mazoezi ili kujenga umilisi mbalimbali.
- Maswali yana michoro na picha za kuvutia kurahisisha uelewa wa mada lengwa.
- Majibu ya Mazoezi yote yapo mwishoni mwa kitabu hiki. Majibu haya yanalenga mwanafunzi, mzazi au mlezi na mwalimu.
ISBN: 9789966572097
Reviews
There are no reviews yet.