Sauti na Mazoezi ya Kiswahili Gredi 3
Mazoezi yaliyomo :
- Kutamka sauti, silabi na maneno.
- Kuunganisha na kutenganisha silabi katika maneno
- Kujaza mapengo.
- Kupanga maneno yaliyo na sauti fulani katika orodha.
- Kuunda maneno kutokana na majedwali ya silabi.
- Kubaini maneno yaliyo na sauti zinzoshughulikiwa
- kuchora na kupaka rangi
- kutafuta maneno katika miraba
- kujaza miraba
- kusoma na kujibu maswali ya hadithi
- Kuandika mambo yanayoonekana katika picha
- kutazama na kusimulia kuhusu picha
- kutazama na kuchambu picha
- kuambatanisha majina na picha
Miongoni mwa shughuli nyingine nyingi za kuchangamsha.
Author : Mwalimu Kipande
ISBN : 978 9966 63 192 3
Reviews
There are no reviews yet.