Kichocheo cha Insha Kitabu Ni kimeandikwa kwa upekee na ubunifu wa hali ya juu sana.
Lengo lake kuu hasa ni kutosheleza matakwa ya walimu na wana ambao watapata fursa ya kuhamia
Lugha yotumiwa na mwandishi ni rahisi mno kueleweka na pia ya kuvutia kwa mwalimu na mwanafunzi
Mambo kadhaa yameshughulikiwa katika kitabu hiki hasa yale ambayo yanatakikana kushughulikiwa
katika mtaa wa shule za msingi sehemu ya kuandika Insha zote muhimu katika uandishi wa insha imerejelewa. Aidha,
insha za viwango vya madarasa ya chini zimeshughulika kwa upekee katika kitabu
Toleo hili litamnufaisha mtahiniwa yeyote katika kiwango chochote katika shule za msingi
Pia kina maswali ya insha za mtihani wa kitaifa wa KCPE.
Reviews
There are no reviews yet.