Oxford Sarufi Fasaha Gredi 7,8 na 9

KSh 789.00

Close
Price Summary
  • KSh 789.00
  • KSh 789.00
  • KSh 789.00
Hurry, Only 1 left.
Highlights:

Sarufi Fasaha (Gredi ya 7, 8 na 9) ni kitabu cha marudio ya sarufi kilichoandikwa kwa umakini mkubwa ili kuendana kikamilifu na mahitaji ya Mtaala wa Elimu ya Umilisi (CBE). Kitabu hiki kimefanyiwa ufatifi wa kina na kimeshughulikia mtaala mzima wa sarufi kwa daraja la awali la shule za upili. Kimeandikwa kwa namna ya kipekee ya kukidhi mahitaji ya mwanafunzi katika udurusu wake. Isitoshe, kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi kukuza umilisi wa kimsingi pamoja na kupata maarifa na ujuzi ambao utamwezesha kuwa na mtazamo chanya.

Katika Sarufi Fasaha (Gredi ya 7, 8 na 9) utapata:

  • maelezo tangulizi kuhusu dhana mbalimbali ili kutoa ufafanuzi kwa dhana hizo.
  • muhtasari wa mambo muhimu ya kukumbuka kuhusu vipengele mahususi.
  • maelezo ya kina ambayo yametolewa kwa lugha sahili inayomwezesha mwanafunzi kuelewa vipengele vyote vya sarufi kwa urahisi.
  • matumizi ya lugha katika muktadha yaliyotiliwa mkazo kuliko ukariri wa kanuni za sarufi.
  • mifano ya kutosha ya matumizi katika sentensi kwa kila mada.
  • mazoezi na mazoezi ya marudio ya kutosha pamoja na majibu yake kwenye msimbo wa QR.
Category:
Reviews (0)
0 ★
0 Ratings
5 ★
0
4 ★
0
3 ★
0
2 ★
0
1 ★
0

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Scroll To Top
Close
Close
Close

My Cart

Shopping cart is empty!

Continue Shopping

Sidebar
Oxford Sarufi Fasaha Gredi 7,8 na 9
Oxford Sarufi Fasaha Gredi 7,8 na 9
KSh 789.00 Add to cart