Mpango wa Leshan, Aida na marafiki zao unatumbukia nyongo baada ya ajali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani? Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini? Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza umuhimu wa kushirikiana, Kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.
Ajali ya keki na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadiliya upendo pamoja na heshima miongoni mwa wasomaji.
Reviews
There are no reviews yet.