Mzalendo Kimathi by Ngugi wa Thiong’o

KSh 300.00

Close
Price Summary
  • KSh 300.00
  • KSh 300.00
  • KSh 300.00
Hurry, Only 2 left.
Categories: ,
Description

Mengi yameandikwa juu ya kiini cha mapambano baina ya Mau Mau na vikosi vya wakoloni Waingereza. Je, kiini hiki kimezungumziwa vya kutosha katika fasihi ya Kenya? Kwa nini fasihi hii imewadunisha wazalendo na kuwafanya wasioweza kuiunda historia yao? Kwa nini waimbaji wetu Kenya hawajapata kuimba nyimbo za kuwasifu mashujaa kama Dedan Kimathi na ujasiri wao? Historia na matendo waliyoyaandika wanahistoria na waandishi wengine ni ya nani?

Haya ni baadhi to ya maswali yaliyowafanya Ngugi wa Thiong’o na Micere Githae Mugo kuandika mchezo wa Mzalendo Kimathi, mchezo wa aina ya pekee unaoonyesha mapambano ya Kenya katika harakati za kujikomboa. Mhusika mkuu ni Kimathi, kiongozi shupavu wa mapinduzi ya Mau Mau. ingawa anateswa kwa aina nyingi, Kimathi anagoma kabisa kujisalitisha na Ubeberu wa Waingereza.

Reviews (0)
0 ★
0 Ratings
5 ★
0
4 ★
0
3 ★
0
2 ★
0
1 ★
0

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Scroll To Top
Close
Close
Close

My Cart

Shopping cart is empty!

Continue Shopping

Sidebar
Mzalendo Kimathi by Ngugi wa Thiong'o
Mzalendo Kimathi by Ngugi wa Thiong’o
KSh 300.00 Add to cart