Shajara Yangu ya usomaji kiwango cha 4

KSh 650.00

Close
Price Summary
  • KSh 650.00
  • KSh 650.00
  • KSh 650.00
Hurry, Only 4 left.
Description

Je, unajua kuwa vitabu vya hadithi ni nyenzo za kimsingi katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha? Kusoma vitabu vya hadithi huchangamsha akili, huchochea ubunifu na kukuza fikra tunduizi. Ubunifu na fikra tunduizi ni baadhi ya umilisi wa kimsingi unaoendeleza ujifunzaji wa kudumu katika maisha ya mtu.

Shajara Yangu ya Usomaji: Kiwango cha 4 itakusaidia kuimarisha ujuzi wa lugha kwa kukupa maswali ainati ya fasihi, mada za majadiliano na shughuli za kiburudani ambazo zitakuza ari na mikakati yako ya kusoma na kuchambua matini. Kwa kutumia shajara hii, utajifunza kuwasiliana na kushirikiana vyema na wengine huku ukiboresha ujuzi wako wa msamiati na wa kufahamu matini.

Umepata mshirika wa kuaminika katika safari ya usomaji!

Author:
Muhhidin Ngashe, Gregory ochieng’
Reviews (0)
0 ★
0 Ratings
5 ★
0
4 ★
0
3 ★
0
2 ★
0
1 ★
0

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Scroll To Top
Close
Close
Close

My Cart

Shopping cart is empty!

Continue Shopping

Sidebar
Shajara Yangu ya usomaji kiwango cha 4
Shajara Yangu ya usomaji kiwango cha 4
KSh 650.00 Add to cart