Shambulizi La Akina Shida 8

KSh 580.00

Close
Price Summary
  • KSh 580.00
  • KSh 580.00
  • KSh 580.00
Out of Stock
Description

NGUVU KWA NAMBA

Hadithi inayofundisha stadi za maisha Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 11 -14 (Kiwango cha 6-8). Ni kitabu cha uwongo cha sayansi.

Mada: Thamani za uvumilivu wa kikabila, usawa na kutobagua

Katika mji mmoja ulioko kaskazini mwa jangwa, watu wa jamii tatu wanategemea maji kutoka kisima kimoja. Mara, maji yanaanza kupotea kisimani kila usiku. Jamii zote tatu zinanyoosheana vidole vya lawama kwa sababu ya tukio hili na ugomvi unazuka kati yao. Tosha, Shana na Pato wanagundua kuwa wako na nguvu za kipekee. Ni wao tu katika jamii nzima ndio wanaotambua kuwa viumbe wanaoiba maji ni wageni kutoka sayari kame iliyoko mbali na dunia. Lakini hakuna anayeamini maneno yao. Je, wanaweza kuwakomesha viumbe hawa kunyonya maji yote kisimani na kusababisha vita?

Author:
Muthoni Muchemi
Reviews (0)
0 ★
0 Ratings
5 ★
0
4 ★
0
3 ★
0
2 ★
0
1 ★
0

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Scroll To Top
Close
Close
Close

My Cart

Shopping cart is empty!

Continue Shopping

Sidebar