Tumaini, ni msichana anayejasurisha kukiuka kaida zilizowekwa na jamii yake iliyoghoshi imani_ na itikadi inayomtwaza mwanamume huku ikimtweza mwanamke. Tendo lake linahitaji ujasiri kwa kuwa anaelekea kuidadisi misingi ya jamii yake. Ni nini hatima yake? Hii ni riwaya ambayo imesimuliwa kwa mtindo wa kuvutia, ma taharuki yenye kishindo na imesheheni lugha yenye mvuto wa aina yake. Ni riwaya ambayo inaonyesha ubunifu mkubwa. Mwandishi anaingia katika nafasi ya kipekee katika riwaya ya Kiswahili kwa namna anavyoyashughulikia masuala ya jinsia kwa mtazamo mpya.
ISBN: 9789966703958
Reviews
There are no reviews yet.