Darubini ya isimujamii ni kitabu kinachoangazia mwingiliano,mtagusano na mtegemeano baina ya jamii mbalimbali na lugha zinazozungumzwa na jamii hizo.
- Lugha na utamaduni
- Lugha matusi
- lugha na uana
- lugha na dini
- lugha na Utawala
- lugha na biashara
- lugha na Elimu
- lahaja
- lafudhi
- pijini
- Krioli
- Lingua Franka
ISBN: 9789966471536















There are no reviews yet.