Mwandishi: Omusikoyo
Suki alikuwa akijiwekea akiba
ili anunue kitabu cha picha za
wanyamapori wakati wa likizo.
Mwizi anaingia nyumbani kwa
kina Suki na kuiba kisanduku
cha Suki cha kuhifadhia pesa
na vitu vingine. Je, mwizi huyo
ni nani?
ISBN: 978 9966 347 96 1
Reviews
There are no reviews yet.