Swali na Jawabu, Marudio ya KCPE Kiswahili toleo la 3 ni kimoja kati ya mfululizo wa vitabu vya marudio yaani Q & A KCPE Revision Series. Vitabu kwenye mfululizo huu vimeandikwa ili kumwandaa mwanafunzi kwa mtihani wa KCPE. Kila kitabu kina muhtasari wa maelezo, mifano, mazoezi na mitihani ya mwigo wa KCPE. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kuelewa mada na kujiandaa vilivyo kukabiliana na mtihani. Vitabu vyenyewe vimefanyiwa utafiti na kuandikwa kwa ustadi wa hali ya juu na wandishi, watahini na walimu wenye tajriba kubwa;
ISBN: 9780195743913
Reviews
There are no reviews yet.