Kimezingatia kikamilifu silabasi nzima ya Kiswahili inavyoelel<ezwa na Taasisi ya Elimu ya Kenya. Kimepangwa katika sura tisa ifuatavyo: Sarufl sehemu ya Kwanza, Sarufi sehemu ya Pill, Msamiati sehemu ya Kwanza, Msamiati sehemu ya Pili, Kusikiliza no Kuongea, Mitungo, Ufahamu, Kuandika (Insha), Majaribio ya KCPE. Kimefanyiwa utafiti wa kina na kutumia lugha nyepesi na pevu inayosahilisha uelewekaji wa dhana. Fahamu zote zimezingatia masuala ibuka Kama vile Ufisadi, Haki za watoto, Utunzaji wa Mazingira, Uongozi bora, Uhalifu na athari na adhabu zake na Teknolojia. Kina michoro mbalimbali inayofafanua yaliyoelezwa. Kinaonyesha, katika mabano, ngeli ya kila jina katika msamiati mbalimbali. Kina angalau methali tano teule baada ya kila mada ya misamiati. Wingi wa baadhi ya msamiati tata
ISBN: 9789966059048
Reviews
There are no reviews yet.