Ushairi ni taaluma ambayo huwa tatizi mno kwa wanafunzi na wakereketwa wengi wa lugha ya Kiswahili. Katika kuandika Miali ya Ushairi, waandishi wananuia kueleza namna ya kusoma, kuelewa na kuchambua mashairi kwa njia sahili na inayoeleweka vizuri. Miali ya Ushairi ni kitabu muhimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya walimu na pia katika shule za upili. Ni dafina muhimu kwa walimu wa fasihi na pia kwa wote wanaoashiki fasihi ya Kiswahili.
ISBN: 9789966257994
Reviews
There are no reviews yet.