Zimwi Hilo 2c

KSh 342.00

Close
Price Summary
  • KSh 342.00
  • KSh 342.00
  • KSh 342.00
Out of Stock
Description

Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi ya kusisimua. Hadithi hiyo ilihusu zimwi lililokuwa likiwashambulia
wanakijiji wa Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana. Lilisemekana liliishi katika msitu
mkubwa uliokuwa karibu na kijiji. Vijana waliamua kulisaka zimwi hilo lakini wakaambulia patupu. Kitendawili cha zimwi
kilizua taharuki kijijini. Mkutano uliandaliwa huku kukiwa na shuku na shauku … Zimwi Hilo ni hadithi iliyojikita
katika fumbo. Hutajua jibu la fumbo lenyewe hadi usome hadithi hii ya kusisimua.

ISBN: 9789966342348

Reviews (0)
0 ★
0 Ratings
5 ★
0
4 ★
0
3 ★
0
2 ★
0
1 ★
0

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Scroll To Top
Close
Close
Close

My Cart

Shopping cart is empty!

Continue Shopping

Sidebar